- kilimia
- [Swahili Word] kilimia[English Word] Pleiades[Part of Speech] noun[Class] 7[Derived Language] Swahili[Derived Word] -lima[Related Words] kilimo[Swahili Definition] fungunyota katika kundi la nyota la Taurus[English Definition] a star cluster in the constellation Taurus[Swahili Example] Kilimia kikizama kwa jua huzuka kwa mvua, kikizama kwa mvua huzuka kwa jua (methali)[English Example] when the Pleiades set in sun they rise in rain, when they set in rain they rise in sun (proverb)[Terminology] agriculture / astronomy[Note] kuonekana kwa kilima mwanzoni wa usiku kulichukuliwa kama dalili la kuandaa kilimo kwa sababu mvua itafuata------------------------------------------------------------
Swahili-english dictionary. 2013.